theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,715
Olenge omoshasha or omakali!?Kulikoni
Olenge omoshasha or omakali!?Kulikoni
Nyagei nawe naona unapambana. Naona nilipitwa au nimesahau tu. Mrs Nyagei ni nani? Sakayo ama? Kama vipi nipe kazi ya ulinzi nimfundishe kazi Shedede. Hutakuwa na wasiwasi tena mkuu na malipo yangu ni kidogo siyo fortune kama Shedede anavyomkamua LeeKumbuka nilishasema jambo lolote kumhusu madam ni lazima mpitie kwangu hamuwezi kwenda kwa madam bila ya kupitia kwangu



Si mama mchuchu niliwasikia mnaulizana makabilamnyalukolo gani my boss![]()
Pardon?Olenge omoshasha or omakali!?
AiseeNi eneo la serikali
shemela lazima nishangaeUsishangae sana
Utakikolya toomanyilehePardon?

Tushumashe ikisimbete...Pardon?

Wazazi wengine wamepinda duh! Katongole atakua ananuka balaa na mademu wakianza kumkimbia matatizo kibao ya kisaikolojia yanaanza - hasira, anti social tendencies, low esteem, loneliness, depression, inferiority complex na mengineyo kibao. Mzazi huyu huyu tena utamwona analalamika kuhusu matatizo ya mwanae. Kumbe angemsikiliza mwalimu wakasaidiana kuhakikisha kuwa Katongole anakuwa mtanashati yote haya yasingetokea.A teacher's letter to a parent:
"Dear Parent, Katongole, your son, doesn't smell nice in school. Kindly encourage him to take shower."
Parent replies:
"Dear Teacher, Katongole is not a rose flower. Don't smell him, just teach him! Thank you."
![]()
hahahahaPardon?
Nasikia tu mkuuUtakikolya toomanyilehe![]()
Aaa wapi. Tunalima kitaalamu sana mkuu. Unaweza kuingiza pesa nzuri sana kwa mwaka kuzidi hata waziri (unless kama amefisadika). Njoo Koromije hapa nikuonyeshe how it is done. Uta-resign kazi ya ulinzi immediately!kulima ni hobby jomba
Nataka unifanye spare tairi mmmke wa mtu mm

Sijakulia usimbitini kiongozi, Pia sio msimbiti ni MhachaTushumashe ikisimbete...![]()
Aya tata... Nyagei...Sijakulia usimbitini kiongozi, Pia sio msimbiti ni Mhacha

But nekomanyile...Sijakulia usimbitini kiongozi, Pia sio msimbiti ni Mhacha
Nafanya kazi Kk security but naona malipo si mazuri... " nitakufuata pm unipe maelezo vizuriAaa wapi. Tunalima kitaalamu sana mkuu. Unaweza kuingiza pesa nzuri sana kwa mwaka kuzidi hata waziri (unless kama amefisadika). Njoo Koromije hapa nikuonyeshe how it is done. Uta-resign kazi ya ulinzi immediately!
