Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nyagei nawe naona unapambana. Naona nilipitwa au nimesahau tu. Mrs Nyagei ni nani? Sakayo ama? Kama vipi nipe kazi ya ulinzi nimfundishe kazi Shedede. Hutakuwa na wasiwasi tena mkuu na malipo yangu ni kidogo siyo fortune kama Shedede anavyomkamua Lee
Hiyo ni kazi yangu nimepewa na boss Transcend ya kumlindia mali yake. Tanga raha boss kafa kaoza
 
Wazazi wengine wamepinda duh! Katongole atakua ananuka balaa na mademu wakianza kumkimbia matatizo kibao ya kisaikolojia yanaanza - hasira, anti social, low esteem, loneliness, depression, inferiority complex na mengineyo kibao. Mzazi huyu huyu tena utamwona analalamika kuhusu matatizo ya mwanae. Kumbe angemsikiliza mwalimu wakasaidiana kuhakikisha kuwa Katongole anakuwa mtanashati yote haya yasingetokea.
Jibu la mzazi ni moja kwa moja unajua kuwa ni single parent family
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom