Makapuku Forum

Nakumbuka goli alizotupiga pale Old Trafford siku ile chungu tukafa 6...Man City ile ilikuwa moto ndo kuanzia Hapo tukaanza kuitwa "Mansita Utd" kitaani
Sitaisahau jinamizi la Super Mario
......
 
Michael Ballack - Namba 13

Ballack alikuwa anamhusudu sana mshambuliaji wa zamani wa Ujerumani, Rudi Voller ambaye alikuwa anava jezi namba 13. Hivyo Ballack aliposajiliwa na Bayer Leverkusen, alimkuta Rudi Voller ndio mkurugenzi wa Michezo wa klabu hiyo, Ballack akashauriwa kuvaa namba 13. Kumbe alichagua namba ya mkosi bila kujijua.

Bayern Munich


Ujerumani


Bayer Levekusen


Chelsea
Aliposajiliwa Chelsea alikuta namba 13 inavaliwa na William Gallas, yeye akaomba namba 13 kama sehemu ya mkataba wake inavyosema.
Hivyo Gallas akanyang'anywa namba 13 ili apewe Ballack, kitendo hiko kilimchukiza Gallas akaomba kuhama na kutua Arsenal.
 
Kweli ina mkosi mkubwa
Karibu kila Fainali aliyoweka mguu na mjezi wake timu ziliambulia vipigo tu...
........
 
Kweli ina mkosi mkubwa
Karibu kila Fainali aliyoweka mguu na mjezi wake timu ziliambulia vipigo tu...
........
Fainali ya Uefa mwaka 2008 dhidi ya Man Utd, hapo akiwa amalegea baada ya kipigo.



Hapa Fainali ya Euro 2008, Spain wakifurahi Ballack akitia huruma.






Hapa Fainali ya Ligi ya mabingwa ulaya mwaka 2002 dhidi ya Real Madrid, ambapo Zizzou aliwaliza mapema tu.


 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…