Makapuku Forum

Hahahahahha, hata mimi mechi za alhamisi zinanifurahishaga sana, napata kigagazito, niangalie Futuhi au niangalie ManU.
Kwa vile ni siku ya vichekesho naangalia zote
Kwa mwanaume aliyekamilika kweli aangalie futuhi badala ya mpira??

Anyway tunatofautiana interests
 
Usiku mwema Makapuku
Damu ya Yesu kristo ikawafunike na kuwabariki kwa Baba na mwana na roho mtakatifu [emoji120] [emoji120] [emoji120]

Ijumaa ya leo kuna London derby Msisahau.
 
[emoji524] ZABURI 4


Katika Amani nitajilaza na kupata usingizi mara,Maana wewe ,BWANA .peke yako ,Ndiwe unijaliaye kukaa salama.


MBARIKIWE[emoji7] [emoji7] [emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…