Mwanzo ni Mwisho
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 4,394
- 10,835
hapo aseme tu... asanteh!Sharti la ngoma ingia kati uicheze
Kaa nasi upate kuulisha ubongo wako
upo vizuri mkuu!
hapo aseme tu... asanteh!Sharti la ngoma ingia kati uicheze
Kaa nasi upate kuulisha ubongo wako
IkawajeRashford kamjaribu kipa
Umemjibu vemaSharti la ngoma ingia kati uicheze
Kaa nasi upate kuulisha ubongo wako
hahah! SHIMBA buana! hapo sio ushabiki wakijeshi, ilo somo wengine tulikuwa darasani hapoAti nini? Ushabiki wa mpira umehamia mpaka kwenye mambo ya kijeshi?
Katika ubora wakemzee wa harakati![]()
Upo shetani wa OT ?Sharti la ngoma ingia kati uicheze
Kaa nasi upate kuulisha ubongo wako
Wewe shetani wa OT upo?mzee wa harakati![]()
Kaa humu wa siku 3 tuu utaelewaHivi hii forum inahusu nini? sijaelewa
nipo nataka kulala ngapi ngapiUpo shetani wa OT ?
Wewe shetani wa OT upo?
hahahhaRashford Hauzwi![]()
namuonaaKatika ubora wake
Tunaongoza mojanipo nataka kulala ngapi ngapi
Rushford anafanya mambo ya beckhamhahahha
nipo mm
Hivi hii forum inahusu nini? sijaelewa
safi sana acha nilale bila stressTunaongoza moja
Binamu kwenye ubora wako...hivi ukisikia mlo kamili huwa unaelewa nini!? ( Jibu hili swali bila kujali kama una njaa au huna)

hivi binamu leo hakuna good musicsafi sana acha nilale bila stress
hahaha hamna binamu team zangu zinajulikana manchester na simba mnyama na madrid kidogo ya ronaldo binamuAunty yangu nakupendea hapo tu, timu inayoshinda ndo yako. Ya nini kujipa stress bhana?
Binamu kwenye ubora wakohivi binamu leo hakuna good music