BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
I see4/Russia's Aviation Thermoboric Bomb of increased Power
"vitu vyote vinavyoishi vinaweza kuyeyuja" hayo ni maneno ya kiongozi mmoja huko Urusi wakati wa uzinduzi wa Bomu hilo mwaka 2007 akimaainisha ni bomu hatari kiwango cha SGR
zinajulikana kama Father Of All Bombs(FOAB)...Lina nguvu X 4 ya Bomu lisilo la kinyuklia la MUsa Liitwalo GBU 43/B Massive Ordinance Air Bomb
.......
CHIMERA VIRUS5/Chimera Virus
Hiki ni kirusi kinachotengenezwa kutokana na DNA za virusi viwili so zaidi
V ilitengenezwa na Wasoviet mnamo miaka ya 1980 ili juvisambaza kwa Maadui
Vina uwezo mkubwa wa kuzisumbua darubini za kimaabara Hivyo kusababisha isijulikane njia sahihi ya kuvitibu au chanjo Hivyo kusababisha viendelee jusambaa kwa kasi na vifo
.........
Urusi
......
Karibu sanaNitamtembelea siku moja ili nipate kitoeo
Ni aibu kuwafananisha na Wamarekani ambao wanapenda tu kukadiria vifaa vyao vya kijeshi kwa pesa kubwa halafu havina uboraI see, Mrusi na Mjerumani wa enzi hizo walikuwa na zana nzito nzito sana
Asante Bitoz kwa top 10 ubarikiwe sana1/Tear Bomba
Hili Bomu ni noma ndo baba lao kwa silaha za maangamizi ya halaiki
Lilitengenezwa na Muungano wa Kisoviet ili kupambana na mkakati wa kinyuklia wa Marekani
Linaruka hadi maili 40 angani ambao ni urefu X 7 ya Mlima Everest
Lilishindikana kubebwa kwa ndege sababu ya ukubwa/uzito wake pia likirushwa kwa ndege uwezekano wa marubabi kupona Ni 50%
Hilo ndo bomu hatari zaidi la kinyukyia
Mwisho
......
hahahhahNitamtembelea siku moja ili nipate kitoeo
Mara nyingi nikipata humu lazima nimkutena ww umejuaje au na ww kama nyagei
Asante sanaTOP TEN
Wakuu leo tuone zana/silaha kumi hatari zaidi kuwahi kutumia au kutengenezwa na binadamu duniani
Tutaanza kwanza na silaha chache zinazoweza kutumiwa na mwanajeshi mmoja mmoja zen zinafuata kubwakubwa
Karibuni
......
Asante mkuu kwa elimu ya silaha za maangamizi dhidi ya mwanadamu.1/Tear Bomba
Hili Bomu ni noma ndo baba lao kwa silaha za maangamizi ya halaiki
Lilitengenezwa na Muungano wa Kisoviet ili kupambana na mkakati wa kinyuklia wa Marekani
Linaruka hadi maili 40 angani ambao ni urefu X 7 ya Mlima Everest
Lilishindikana kubebwa kwa ndege sababu ya ukubwa/uzito wake pia likirushwa kwa ndege uwezekano wa marubabi kupona Ni 50%
Hilo ndo bomu hatari zaidi la kinyuklia
Mwisho
......
Pamoja sana wadauAsante sana
Asante Bitoz kwa top 10 ubarikiwe sana
Hii ya leo imenitoa jashoAsante mkuu kwa elimu ya silaha za maangamizi dhidi ya mwanadamu.
Asante sana mkuu Bitoz kwa habari ya top 10 ya silaha ubarikiwe1/Tear Bomba
Hili Bomu ni noma ndo baba lao kwa silaha za maangamizi ya halaiki
Lilitengenezwa na Muungano wa Kisoviet ili kupambana na mkakati wa kinyuklia wa Marekani
Linaruka hadi maili 40 angani ambao ni urefu X 7 ya Mlima Everest
Lilishindikana kubebwa kwa ndege sababu ya ukubwa/uzito wake pia likirushwa kwa ndege uwezekano wa marubabi kupona Ni 50%
Hilo ndo bomu hatari zaidi la kinyuklia
Mwisho
......
Naelewa ugumu wa kuandaa makala kama hizi.Hii ya leo imenitoa jasho
Ina Lugha ngumu kinoma zilizotumika
......
Duh!6/Nimitz Class Aircraft Carrier
Hii ndo meli kubwa zaidi ya kubebea zana za kivita duniani
Iligharimu USD 4.5 billion kutengenezwa...ina uwezo wa kutumia km kiwanja cha ndege za kivita kutua, kujaza mafuta, marubani kupumzika n.k
Inaweza kubeba ndege 90 za kivita
Mmarekani kaamua kuiga anatengeneza yake inayoitwa The Gerald Ford Class Aircraft Carrier' itagharimu USD 12 bilioni (si mnawajua Marekani kwa kuzidisha mahesabu wanaweza kusepa chupi ya Trump imeshonwa kwa dola 100000 ili tu iingie kwenye rekodi)
.........
Utasikia wana manowari kumi kubwa zaidi duniani zenye thamani ya mabilioni ya dolaNaelewa ugumu wa kuandaa makala kama hizi.
Marekani ni wazee wa propaganda na tantalila nyingi.
Ni shida3/ICBM
Kirefu chake ni The Intercontinental Ballistic Missile)
Ni kombora lenye shabaha linaloweza kurushwa umbali wa mail I 3400
Lilitengenezwa maalumu kwa ajili ya kusafirisha silaha za nyuklia
Ni kombora hatari linaliweza kurushwa kwa ndege, nyambizi au gari lina uwezo mkubwa Wa kufika target
.....
Yote haya ni binadamu kumwangamiza binadamu mwenzie2/[MIRV
Hili ni kombora la nyuklia la masafa mrefu linlojumuisha muunganiko wa silaha nyongi
Lina uwezo wa kupiga sehemu nyongi kwa pamoja tofauti na ya kizamani ambayo hupiga uelekeo mmoja tu
Hili kombora ni noma yaani linapiga Tandale,Mbagala na Madale kwa mpigo
.......
Asante bitoz kwa top ten bora kabisa1/Tear Bomba