Makapuku Forum

Hapana, weed ni haramu kwa serikali na vyombo vyake. Lakini ni tiba ya jino, sikio, 'asazi', kiungulia, pumu.

Kifupi hii avatar yangu siendani nayo, mimi sfugi rasta.

kama inakukera itabidi nibadili, si unaona BlessedHope kabadili🙂
hahaha binamu hainikeri tumekuzoea na hiyo kumbe weed ni dawa nilikua sijui
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…