Makapuku Forum

1/Niger Taifa hili la Afrika Magharibi lina idadi kubwa ya Waislamu karibia 94% ya wananchi wote
Idadi kubwa Waislamu wa dhehebu la Sunna, kuna Wakristo kiduchu
Juzijuzi Rais wa Niger alilitangaza Taifa hilo kuwa ni la Kiislamu Hivyo linaongozwa kwa kufuata misingi ya uislamu
Karibia 100% ni wafia dini sasa ole wako kipindi cha mfungo wa Ramadhani ukutwe unatafuna mahindi kitaani

Tukutane kesho
Mwisho
................
 
shukrani Bitoz kwa top 10 asante sana
 
Leta mambo
 
Wanaonekana tu
 
7/Armenia
94% ya wananchi wote ni Wakristo wa dhehebu la kitume(Apostolic church}
Mnamo mwaka 301 AD Arnenia nilikuwa Taifa la kwanza kujitangaza kuwa Taifa la kikristo
93% ya wananchi wa Armenia ni watu wa dini
........
Kuna kipindi walikuja juu sana kwa Tanzania, walikuwa wanamwaga pesa na kujenga makanisa, baada ya wabongo kuwachakachua nao wakapotea
 
6/Thailand
95% ya Wathailand wanaabudu Ubudha(Buddhism) huku nguzo yao kuu ukiwa ni upendo,kujiongoza/kujitawala na kutofanya uovu
Watgaikabd wachache wanafuata Uhindu(Jindusm)
94% ya watu wa Thailand ni watu wa dini
........
Hii ndio dini bora kabisa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…