Makapuku Forum

Nothing is worth life,na wauaji hawatakuwa na amani milele ndio kitu watu hawajui kuhusu kuchukua uhai wa mtu hata kama ni mhalifu
 
RIP ndugu.
 
Lol! Kumbe aisee, kwa hiyo aliyenipiku ni mtu wa ibada au ndo kama mimi tu?
Afu umejuaje auntie au ndo umeshiriki kunichafulia CV? Ila nakuaminia huwezi niharibia.

Ngoja tusubiri kipindi cha pili😉
binamu naanzaje mm kukuchafulia cv tunavyokupenda ni mukongo ndio kakupiku binamu
 
hahahha shemela shululu ukuje usikie habari za saa tulikua tuna wasi wasi sana kuhusu saa

acha tu binamu kapuku n zaidi ya familia mwenyewe nikiwa sijalog in huwa nawamiss sana kapuku wote
 
Binamu mbona imekataa kuplay Carlos Santana mzee wa maria maria
 
inasikitisha sana
 
TOP TEN
wakuu leo kwa udhamini wa Mama Mchungaji nawaletea nchi kumi ambazo wananchi wake ni wacha Mungu
Saudi Arabia inafahamika km nchi ta Kiislamu na kutumia sheria za Kiislamu(Sharia) lakini 10 bora haipo pia Brazil inafahanika kwa kuwa na idadi kubwa ya Wakristo Wakatoliki lakini mayo haipo maana sio kila anayeitwa Ally ni muislamu wa swala tano au John kila jumapili anaenda kanisani na kuamini Yesu ni mwokozi
Hapa tunaanhalia nchi ambazo wananchi wake ni wacha Mungu haswa
Karibuni
.........
 
Asante sana nipo hapa nasimamia udhamini wangu,asante kuniwazia mema ,kweli siku moja nitdhamini haya mambo yetu na mengine mengi ubarikiwe
 
10/Morocco
98% ya Wamorocco ni Waislamu,Wakristo ni 1% huku 0.2% ni Wayahudi
93% ta wananchi wa Morocco wanaamini uwepo wa Mungu/Mola
Ni watu wa swala tano kila siku na hufunga kila mwezi mtukufu wa Ramadhani
........
 
sante tupo tunasubili
 
Ndiyo hivyo dear ilinichuku mwaka kuweka aliyeniwekea yuko shule ,sasa leo wataalamu wamerekebisha hata sijui pa kuanzia
hahahaha mama angu nacheka kama mazuri nakupenda sana mama mchuchu unanifurahisha sana.

ndio mana kipindi flan watu mama mchuchu weka avatar masikini upo kimya kumbe hauwezi naomba nikuelekeze mama angu kama hautajali
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…