Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,061
Tangu lini boss akamsalimia mfanyakazi wake [emoji3] [emoji3]malakhaba shunie hujambo
Mzoefueeh!!!Hakika, mtu ambaye hajafika Tanga nampa pole
[emoji106]Haya memsamehe[emoji17]
aisee na mm napenda chips wanawake wa dar [emoji134]4/The Potato Femine![]()
![]()
Chakula kikuu cha Waingereza ni chipsi samaki...sasa hili janga la njaa lilitokana na kuadimika kwa viazi kati ya mwaka 1845 hadi 1848
Ilisavabisha mamilioni ya watu kufa huku wengine wakikimbia nchi
.......
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaa! Ila huku fire wenyewe wanachelewa,
Sasa ikiwa ni condom si ndio watakuja wakute ushapata ukimwi .[emoji23][emoji23]
Wanataka wakuunge ni niniokay
totozNani huyo
nzur tu shululu upo mzima wwNzuri shedede, za mihangaiko
Si mchezoTanga ni hataree...
Unaogeshwa hadi unanukia kama pilau..[emoji23]
ujue una kauchocheziAmekuelewa ?? Asijesema umemtukana..
Hope kaelewa bana[emoji1]Amekuelewa ?? Asijesema umemtukana..
mama mchungaji bwana yesu asifiweNjema
Shede Wizzle[emoji3]wakuu habar zenuu
aisee kweli hilo darasa la huruNyagei tupo nae anatafsiri on my behalf
Valie my loveMy love for you is a canvas furnished by nature and embroidered by imagination...
Love you my ray
Na shunie je [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]0629099545 add me
hapana bana siwezi kumuuanaona umegeukwa mkuu[emoji3][emoji3][emoji3]
Umeoa au unachepukia Tanga???Unakunywa chai huku unapetiwa petiwa
hahahahah yani chips zinifanye mimi nife nitakula ugali mpaka mahindi yaote tumboni .....[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]4/The Potato Femine![]()
![]()
Chakula kikuu cha Waingereza ni chipsi samaki...sasa hili janga la njaa lilitokana na kuadimika kwa viazi kati ya mwaka 1845 hadi 1848
Ilisavabisha mamilioni ya watu kufa huku wengine wakikimbia nchi
.......