Acha kabisa aiseeTanga Laha!!!
Harafu ni mshenga sasahaahahah nilijuatu ww mukongo utasema
Wonders!!4/The Potato Femine![]()
![]()
Chakula kikuu cha Waingereza ni chipsi samaki...sasa hili janga la njaa lilitokana na kuadimika kwa viazi kati ya mwaka 1845 hadi 1848
Ilisavabisha mamilioni ya watu kufa huku wengine wakikimbia nchi
My love for you is a canvas furnished by nature and embroidered by imagination...Valentina sitarudia kukuudhi mamy wangu..
Nakupenda sana
Nafuraha isiyo na kifani kuona umenisamehe..
Always you will be my woman.
I really fallen to you valie
I can't explain more here.
Mond he is Loving you...
mmmh my mistake ila wacha tu aniunge mana iyo no. inapatikana tsaap tu ...ww ungeenda pm shedede unanikaje no yako hapa
Nani huyohahahah naelekea kupata
Amekuelewa ?? Asijesema umemtukana..My love for you is a canvas furnished by nature and embroidered by imagination...
Love you my ray
Sanahawataelewa shemela huku unapepewa na kawa
sawa rayvany
Sijajua vizuriWonders!!
Kumbe kiepe kule ndio kila kitu?
Nyagei tupo nae anatafsiri on my behalfAmekuelewa ?? Asijesema umemtukana..
hahahhhh![]()
![]()
mkuu wachina wamekukosea nini
Haya majanga haya aisee6/The Flu Pandemic![]()
![]()
Unayadharau mafua?
Noma Hii ya mafua iliikumba dunia kati ya mwaka 1918 hadi 1919 yaani vinamaliza tu vita vya dunia halafu linakuja janga jipya
Iliua zaidi ya watu milioni 75 huku ripoti zingine zikisema milioni 100
India pekee walikufa milioni 16
Wahanga wakuu wakiwa watoto na wazee
......
Laha leo

Mh shemela mm au mondrayWeka picha
Aah! Wapi!!!Kama huo wa arsenal