BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
HBD Tiago Mendes1981 - Tiago Mendes anazaliwa.
Kiungo wa ukabaji wa zamani wa Chelsea, Juventus, Atletico Madrid na timu ya taifa ya Ureno.
Kwasasa yupo zake Atletico Madrid chini ya Kamanda Diego Simione.
1998 - Benki Kuu ya Ulaya yaanzishwa huko Brussels.
Pamoja sana mkuu musoliniAsante kwa magazeti Mkuu
Pressure watu zinawapandahahahha hali ni mbaya kwa watumishi aisee hadi umri mi nafikir hapo angefatilia utendaji tu wa kazi maswala ya umri ni private issues
Huyu Beckham alikuwa mpiga faulo na kona mpaka utapenda1975 - David Beckham anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Man Utd, Real Madrid, Ac Milan, LA Galaxy na timu ya taifa ya Uingereza.
Mmoja kati ya wanasoka tajiri, maarufu na wenye mvuto wa kibiashara.
Alitwaa Uefa Champions League akiwa na Man Utd mwaka 1999.
Wakati anamuoa Victoria Adams wachezaji wenzake wa Man Utd walihudhuria isipokuwa Kepteni wao Roy Keane aliyesema ni bora atoke out na Mbwa wake kuliko kuhudhuria sherehe ya Beckham.
Aliondoka Man Utd timu aliyoipenda baada ya kugombana na Kocha Sir Alex ambapo katika mechi ya robo fainali ya F.A Beckham alipigwa na kiatu cha uso na kuchanika wakati wa mapumziko na kocha wake Ferguson.
Mtu ya Kongo umeamkejeWazee wa kiki!!!
Belgium, au Ubeleji (ubelijiji)1998 - Benki Kuu ya Ulaya yaanzishwa huko Brussels.
RIP, Osama2011 - Osama Bin Laden ambaye ni mshukiwa wa mashambulizi ya kigaidi ya September 11 anauwawa na Majeshi maalum ya Marekani huko Abbottabad nchini Pakistan.
Asante mkuu kwa historiaLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Kwema mkuukwema kiongoziii?
1999 - Mireya Moscoso anakuwa Rais wa kwanza mwanamke kuchaguliwa nchini Panama.
Asante mama mchungajiMorning mkuu Shululu asante ubarikiwe sana kazi yako ni njema
Alikuwa anaipenda sana United1975 - David Beckham anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Man Utd, Real Madrid, Ac Milan, LA Galaxy na timu ya taifa ya Uingereza.
Mmoja kati ya wanasoka tajiri, maarufu na wenye mvuto wa kibiashara.
Alitwaa Uefa Champions League akiwa na Man Utd mwaka 1999.
Wakati anamuoa Victoria Adams wachezaji wenzake wa Man Utd walihudhuria isipokuwa Kepteni wao Roy Keane aliyesema ni bora atoke out na Mbwa wake kuliko kuhudhuria sherehe ya Beckham.
Aliondoka Man Utd timu aliyoipenda baada ya kugombana na Kocha Sir Alex ambapo katika mechi ya robo fainali ya F.A Beckham alipigwa na kiatu cha uso na kuchanika wakati wa mapumziko na kocha wake Ferguson.
AmenAsante mkuu Shululu ubarikiwe
RIP1972 - J. Edgar Hoover anafariki Dunia.
Mkurugenzi wa kwanza na muasisi wa Shirika la Upelelezi nchini Marekani FBI.
Mmoja kati ya watu walioogopeka sana katika enzi za Uhai wake.
Ni mbabe na katili wa kimya kimya ambaye aliigeuza FBI kama taasisi yake ya siri.
Mambo 10 kuhusu Kachero J. Edgar Hoover wa FBI
2011 - Osama Bin Laden ambaye ni mshukiwa wa mashambulizi ya kigaidi ya September 11 anauwawa na Majeshi maalum ya Marekani huko Abbottabad nchini Pakistan.
Asante kwa historia bora kabisa mkuu diktetaLeo katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Salut ya nazi hiyo
AlikufaHuwa nasikia bado mzima sijui n kweli?