Makapuku Forum

iyo ndo point uchumi wa ndani iliukue unaitaji nguvu na tija kutoka ndani ya nchi yenyewe hawezi akaja mchina eti ajenge uchumi wa tz ..

Mkuu tujitahidi kutengeneza uchumi imara ili tuwe wawekezaji wa ndani tutakao toa ajira kwa watanzania wenzetu na hii itatujengea jina lisilo futika katika maisha ya watu wengi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…