Teacher on duty
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 201
- 331
Mm nimeogopa hata kugonga likeSijaelewa maana hii lugha ina ukakasi
Mm nimeogopa hata kugonga likeSijaelewa maana hii lugha ina ukakasi
Lugha vipi tena ndugu yangu?KUMAMAMAE MAJAPUKUPU NAHUSIKA. sis ndio tunai njoy maish bana
Sio mchezoMm nimeogopa hata kugonga like
Kapuku hatutukani.....KUMAMAMAE MAJAPUKUPU NAHUSIKA. sis ndio tunai njoy maish bana
Kawaida mkuu.Mkuu nipo poaa kabisaa ilaa usawaa ndoo unakabaaa sanaaaa![]()
![]()
![]()
![]()
T.O.D, Habari ya siku kaka!Habari zenu makapuku wenzangu? Naamini mpo sawa na mnakimbizana na maisha........
Salama mkuu mambo vipi.Habari za mida wapendwa katika Bwana.
Nzuri sana mkuu Emmyguy....mvua still inanyesha na mazao shambani yanazidi kukua....habari ya kwako ww?T.O.D, Habari ya siku kaka!
Ambayo walimu huwapa wanafunzi wao??? Siijui kabisaaHuijui?????
Nipo namshukuru Mwenyezi kwa pumzi anayonijalia.Nzuri mtumishi habari ya kwako?
KUMAMAMAE MAJAPUKUPU NAHUSIKA. sis ndio tunai njoy maish bana
Hata cc ni watoto wa watu JimenaMasikini watoto wa watu![]()
![]()
Hujaonekana kabisa leo mkuuMkuu nipo poaa kabisaa ilaa usawaa ndoo unakabaaa sanaaaa![]()
![]()
![]()
![]()