Baada ya kupitia magazeti mubashara kabisa Sasa ni zamu ya ratiba ya mechi za leo
Tuanzie Ubelgiji
Belgium playoffs Ikumbukwe kuwa ligi ya Ubelgiji ilishakwisha na sasa timu zinacheza mechi za kutafuta wa kufuzu kwenda kwenye michuano ya ulaya, timu ya Samatta yenyewe ipo kundi b ikigombania kwenda kushiriki michuano ya shirikisho Eufa europa
Tongotongo la Asubuhi
Huko milimani Prague Jamhuri ya Czech wiki iliyopita kulitokea mlipuko wa volkano yenye rangi ya waridi(Pink}
Licha ya volkano hiyo kuwa na rangi ya kuvutia lakini madhara yake pengine ni zaidi ama sawa na volkano ya kawaida
Wanasayansi bado wanachunguza sababu
.....
.