Usasa ndio uliotufimisha hapa tulipoVitu vya kienyeji ni vizuri sana mimi nakula dona ,huwa napata changamoto ndugu zangu wakija toka kijijini, hakika hawafurahii dona inabidi niwaandalie unga wao
Roho mtakatifu akupatie moyo wa ujasiri ili kukabiliana na hali hii ya sasaMmmh mimi na familia yangu mtuombeee tu,kuna ndugu zangu wamenipigia simu yamewakuta,bado wadogo wala hatukujua..nimewashauri waje kwanza maana wako katika wakati mgumu wana shock na kukata tamaa,nawaombea amani wote waliopata shida hii na Mungu awatie nguvu maana ni ngumu kupokea ila ndio limeshatokea .
Pole sana,tuwaombee wapate farajaHili ni janga kubwa, shemeji zangu wawili limewakumba
Kisa? Vyeti feki ama? Mukongo akipiga show moja tu Ubelgiji anapata pesa za kula mwaka mzima. Hata vyeti vyake vya shule bila shaka hajui vilipo!Nasikia mkongo kafyekwa
........
Najua tu, karibuHahaha...Sina namna shululu
Cha mgambo tu kinatoshaKwani na walinzi wana vyeti??
Wengi wetu 75%Hahaha...una uhakika kiongozi
Roho mtakatifu atawasimamia pamoja na maombi yetuPole sana,tuwaombee wapate faraja
Nimeogopaa
Uko karibu na uhalisia lakiniNabashiri tu
Nitatembelea hukoYupo muda wote
Nazi zake ziko je? Tui lake je? Unaweza kuhisi tofauti yo yote (ladha, ubora, thamani...) kati ya nazi iliyochukua miaka mi3 na ile iliyochukua miaka 15?Tanga kuna minazi inazaa baada ya miaka mitatu
Uko karibu na uhalisia lakiniNabashiri tu
Kifupi ni mndaliBob...hili jina lako halina kifupi??
Amen,nimeumia sana leo ila Mungu anazidi kunitia nguvuRoho mtakatifu atawasimamia pamoja na maombi yetu
Unajitahidi sana kua memba active...mimi ninapotea potea hovyoNajua tu, karibu
AmenRoho mtakatifu akupatie moyo wa ujasiri ili kukabiliana na hali hii ya sasa
Niliiacha ikiwa ina miaka miwiliNazi zake ziko je? Tui lake je? Unaweza kuhisi tofauti yo yote (ladha, ubora, thamani...) kati ya nazi iliyochukua miaka mi3 na ile iliyochukua miaka 15?