Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,978
mm kwangu yameisha n changamoto tu hizo mndali kuwa na amani zoteMsamehe 7*70
mm kwangu yameisha n changamoto tu hizo mndali kuwa na amani zoteMsamehe 7*70
Usijali shemela ndio mambo ya ndoa na changamoto zakesi ndio hiyo simu shemela
hahahhhMkataba anaujuaaa
Hamu nyingine tunamalizaa baadarnaanzaje kutokupenda nilikua sina mpango wa kuingia jf kabisa simu niliyopigiwa imenifanya nije kwa hamu zote
niwaage sasa hiviBaby lee waage tulaleee
Mmmmmmhmwamini sana shululu nilikua nae mda wote uliokua haupo
Huyu anajaribu kuona ukweli uko wapi unapo kimbia itaonekana ulikuwa na ajenda ya siri na vNaonaa hujapenda mimi kutoroka poriniii
Huna nini shemelamushenga sina
mzee wa kungoaNa naniii ambaye hajipendii
Naona anaogopa mziki alio ufungulia mwenyeweKwa hiyo ndio unakimbia
Nshakioteshaa kibarua chake...hakuna ripoti labda aongeze chumvi
mm naonana nae sana mmuMadam Sakayo anawapeni Hi
Boss T popote ulipo kipenzi chake anakusalimu
sawa shemelaUsijali shemela ndio mambo ya ndoa na changamoto zake
sawa mndali nimekuelewaSio makali ila nasema namna ambavyo upendo hujengwa kwa nguvu kubwa unabomoka kwa maneno
Uvumilivu humfanya mtu kutubu makosa yake na kujifunza kuwa alicho kifanya ni kosa
Imekula kwakeMikononi mwa Moyes???
Yes na yeye pia ametuachaHata Mido kwisha habari yake
hahahhhHamu nyingine tunamalizaa baadar
Labda mapambano ya utangulizi, kwani sio live?hizi ngumi sa ngp zinaanza
naona wanaopigana sio nilioona mabango yao
Nimeacha maana nakumbuka usemi unao sema safari ya wawili watatu ibilisihahahahhah mndali we mchochezi sana
kweli baby muulizeMmmmmmh