shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Aiseewivu lazima niwe nao mndali mm nina moyo sio robot
Aiseewivu lazima niwe nao mndali mm nina moyo sio robot
Bhasiii shedede popote alipo kazii imeotaa mbawa hana kibarua tena ...kimeotaa nyasiii tutampelekaa ikwiririi shambanii atunzee mbuzii
Nakuaminiii na nakupendaaa ...shululu sijamwamini

mzima lakinikaka akee
Mbona unakimbia mapemaJamaniiiii
poa bhanaa usiku mwemaa
Bhasiii shedede popote alipo kazii imeotaa mbawa hana kibarua tena ...kimeotaa nyasiii tutampelekaa ikwiririi shambanii atunzee mbuzii
Nakuaminiii na nakupendaaa ...shululu sijamwamini
Sio ngonjela?we mndali usinipe risala ujue
Msamehe 7*70hahahhh natamani ata kukumeza
hakuna ripoti labda aongeze chumviNasubiriaaa ripotiii
Mkataba anaujuaaaKweli kibarua cha mtu kiote nyasi kisa tu umefanya uzembe hakukumbusha wakati we unajua unacho kifanya ni makosa mi naaandama mlipe pesa yake na mafao yake akaanzishae miradi yake
Ndio inaelekea kumalizikaNimemisiiii mpiraaaa
Baby lee waage tulaleeenajua ww ni wangu tuhalaf hiyo nipo mm aaarrghh siipendi
![]()
Ndioooo shemelaAisee
Haja kuchoka sema mwanaume kutongoza ni suna wanasema watu wa mjini
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()

me mzima sijui wwmzima lakini
Ooooooh nilimis kichekoooo chakooo
Na naniii ambaye hajipendiihivi unakumbuka niliambiwa nitatekwa kupelekwa ununio beach ya raha
Sio makali ila nasema namna ambavyo upendo hujengwa kwa nguvu kubwa unabomoka kwa manenoMmh mbona una maneno makali mndali yanachoma mpk kumoyo