Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Mkuu utanivunjiaaa ndoaaSio uchochezi ila kulikuwa na dalili za usaliti nilikuwa nakusanya ushahidi

Mkuu utanivunjiaaa ndoaaSio uchochezi ila kulikuwa na dalili za usaliti nilikuwa nakusanya ushahidi

Naona unamwaga madiniNinìii
nilikumiss sana kivuruge wanguWakuu natanguliza salaam ....
Nimewamis mpaka bhasiii Ila sikuwa na jinsi at tyme inatupasa kulitumikia taifa kuliko linavotutumikia sisi ...nimewamis sanaaaaaaaaaaaaaaa
Nimeshindwa nianzie wapi ikabidi niskip all pages but hopefully wote mu' wazima
Kuanzia kwa shunie ....(special greatingz) ...to all kapuku wote
Mama mtumishiii ....nimekumis
Balozi Bitoz ....kinomanomaa
Mukongo....nothing to say
Mndali ....loooooh
Shululu...au ushakimbiaa
Mr &Mrs T....my God
Dikteta ...moment zako nikitoka asbh unatinga...
Mondray...na Ray..
Nyagei katibuuuuuuuu....
Baba paroko ...sijui nisemejeee
Valentinaa....nimekumisimoo
Bhinamuu obee ....na nyuziiiiiii
Mkuu tetra ...upooo
Snipes aka kidukuuu...
Msukuma wa koromije..S B ntapewa ripotiii
Na makapuku wote majina ni mengi na nawakumbuka na kuwapenda woteee...najua wageni wapo kibao ila wikend hii tunalamba sahani mojaaa....
Msamaha wenu ....nisamehe nilishindwa kutoa taarifa rasmi kuwa ntawamisisha segment ya mapema magazeti na uf...nisameheni Ila Mimi mzima
Shunie mama sara zako zinaniongozaaaaaaa
....
Shedeeeeedeeee naamini kazi umeifanya haswaaa...ntaomba ropotiiiii
nilimmiss kila kitu chako
Nasubiriaaa ripotiiisio mshtuko wa moyo nitakufwaa kabisa msukuma
hivi umenichokaaMkuu utanivunjiaaa ndoaa
![]()
![]()
![]()
![]()

Naona mnanitazama kwa jicho la tatuNimemuonaaa
mmhUsijali hizo tunaita kachumbali katika safari ya mapenzi kuwa mvumilivu
khaaa sasa huyo ni dogo mautani yaliyovuka mipaka hapana kwakweliUpendo kama wewe na dogoooo
nimependa sana urudi lkn si haya niliyoyakutaJamaniii hujapendaa nirudiii??
wivu lazima niwe nao mndali mm nina moyo sio robotPunguza wivu dadangu huyu mpita njia we ndo mwenye mji
Bhasiii shedede popote alipo kazii imeotaa mbawa hana kibarua tena ...kimeotaa nyasiii tutampelekaa ikwiririi shambanii atunzee mbuziishedede hajafanya kazi yoyote nimejilinda mwenyewe muulize shemela shululu mpk nataka kutekwa
Mkuu mi nahakikisha ndoa yako iko salama ila punguza kutamaniMkuu utanivunjiaaa ndoaa
![]()
![]()
![]()
![]()
mimi apa ndioIlaaa wewee ...
Nimemisiiii mpiraaaaGermany Bundesliga
![]()
BAYERN MUNICH NEW CHAMPIONS BUNDESLIGA 2017
![]()
we mndali usinipe risala ujueUsichukie hizo changamoto tu zinaimarisha msingi wa penzi lenu
undg wa wapiAhaaaaaah wewe ni na vale ni mtu na ndugu
Umeonesha...nilikumiss sana kivuruge wangu![]()
![]()
nilimmiss kila kitu chako
sawa lkn ungeonyesha ukali wako ata kama nyie wanaume mtu akijileta hamuachiiAngalia mwanzoni kabisa, baada ya yeye kuingia