Makapuku Forum

Nasubiriaaa ripoti yake


Namshukuru Mungu ....ila bora ka nchi ketu kaendelee kuwa na vurugu tu insta ...kuna nchi watu wanatesekaa mkuu
Hapo umenena. Watu wanajipiga vifua na kujiapiza mbele ya keyboard tu lakini ukiona hali halisi ya watu waliokumbwa na machafuko ya wao kwa wao ni hatari mno. Mbaya zaidi hata hakuna anayefaidika mbali na hao ma war lords na wakubwa wao wa nje. Watoto na wanawake hasa ndiyo huteseka sana. No matter what huwa naomba sana kikombe hicho kiipite Tanzania yetu tuipendayo. Asante kwa angalizo makini mkuu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…