Makapuku Forum

karibu mkuu tuendeleze ujenzi wetu wa taifa la makapuku
 
Mkuu karibu tena maana kuna usemi unasema tulipo ndipo mungu kapanga tuwe

Karibu tena mkuu
 
Uraibu wa mtandao China na hasa South Korea ni janga la kitaifa kwa sasa. Wengine mpaka wanatelekeza familia na watoto wachanga wanakufa kwa sababu mama yuko kwenye super speed cafe anacheza game na wenzake katika mashindano. Tena ukimuona aliyekolea sawa mwenye uraibu wa ngada ana unafuu: hawali, hawafui, hawaogi mpaka wengine wanakufa kwa njaa kisa gemu limenoga. Kazi kweli kweli!
 
Kwa hisani kubwa ya Bitoz na darasa huru alilotupa ...nimefanya practical


Inspector shedede naomba na wewe ripoti yakoooo tafwazwariiiiiiii...
Shedede nilimkurupua jana nikamshauri ahamie katika banda la mlinzi. Alikuwa amehamishia sime na rungu lake nyumba kubwa...

All in all karibu tena mkuu. I hope all is well huko ulikokuwa kwa sababu yaani watu wanakufa ile mbaya. Kila siku misiba kibao. Dunia hii hovyo kabisa!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…