Makapuku Forum

mkuu naomba kama hutojali nielezee kidogo hili pambano,
Nikueleze nini mkuu? Hizi ni ndondi na hakuna cha kueleza. Pambano ni saa 4 usiku Wembley Stadium ambapo watu zaidi ya 90,000 watahudhuria. Joshua ana miaka 27, professionally amepigana mara 18 na hajawahi kushindwa na ameshinda mapambano yake yote 18 kwa knockout!. Klitchiko ana miaka 41 na wengi wanadhani pengine hili ndilo pambano lake la mwisho. Ameshapigana mara 68 na kushindwa mara 4. Ana knockouts 54!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…