Makapuku Forum

Lakini hawapendani kama lee empire na Shunie


Thanks kwa T.T le Bitoz
 
wadau kama kawaida leo ijumaa mida ya saa tatu na nusu ndio ile sherehe ya wapenda mpira mzuri, wenye kasi, kuona Passion ya mashabiki uwanjani na vipaji haswaa inaanza.

BAYER 04 LEVERKUSEN Vs SCHALKE 04

Leverkusen bado hawana mwendelezo mzuri toka wamemfukuza kocha wao Roger Schmidt na kumpa timu kocha wa muda Tayfun korkut. Mara ya mwisho wakiwa nyumbani walidroo 0-0 wakiwa pungufu dhidi ya bayern munich, leo tena watawakaribisha vijana wa Markus Weinzierl.

wiki iliyopita leverkusen walifungwa 2-1 na timu ambayo imekua surplies package kwa msimu huu ukiachana na RB Leipzig, Freiburg. kichapo hicho inamaanisha katika mechi nane zilizopita kwenye mashindano yote imeshinda mechi moja tu, (D4, L3) na endapo ikishindwa leo basi itakua imejihakikishia kutoshiriki michuano yyte ya ulaya kwa mwakani.

Schalke 04 nao hawana matokeo mazuri kivileee, baada ya droo ya mechi iliyopita dhidi ya RB Leipzig inamaana kwamba wameenda mechi tisa bila kufungwa wakiwa nyumbani, (D5, L4), tatzo lao ni wabovu sana wakiwa ugenini, wamecheza mechi 14, wameshinda mbili tu, mbaya zaidi walifungwa na timu inayoshikilia mkia Darmstadt.

TEAM NEWS

Leverkusen wao wataendelea kumkosa kiungo wao Hakan Calhanoglu, Lars Bender, na Jonathan Tah nao ni hati hati, Good news kwao ni kwamba beki yao ya kati Jedvaj kishamaliza kifungo hivo kuna uwezekano atakuwepo.

Schalke 04: Breel Embolo, Maxim, Max Meyer, Leon Goretzka, Naldo na Abdul Rahman baba nao ni hati hati.
 
Mimi na mpira hatupatani kabisa. Mimi ni masumbwi na Mixed Martial Arts (MMA). Nasubiri kesho kati ya Vladimir Klitchiko na Joshua Wembley stadium. Watu 90,000 wanategemewa kuhudhuria. I wish I were in the UK. Nisingekosa!
 
8/Liza Minelli & David Best Ilifungwa mwaka 2002. Walihudhuria wageni 850 huku wakihudumiwa na wahudumu 500
Ilihudhuriwa na watu mashuhuri kibao wakiwemo Michael Jackson na Elizabeth Taylor
.......
Michael Jackson na Elizabeth Taylor walikuwa wana mahusiano gani jamani?

Rejea video ya Liberian Girl inapoanza au inapoisha wanasema This video is dedicated to Elizabeth Taylor.

Je huyu Elizabeth Taylor alikuwa ni nani kwa Michael Jackson ( MJ )?

Cc:

shululu
werrason
Shunie
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…