wahindi wazuri sana2/Vanisha Mittal & Amit Bhatiailifungwa mwaka 2004 ilihudhuriwa na wageni mashuhuri 1000 katika kasri la kifalme Versailles Paris Ufaransa
Burudani iliongozwa na Kylie Minogue na Shah Rukh Khan
Iliteketeza USD 55 Milioni
......
poa engineer, inakuajeHabari
Bakurutu vipi leo binamu
karibu sana mkuu kwa niaba ya wakongwe maana mwenyewe bado nina kamba mguuni,Safi tu mkuu
Mimi mgeni humu.
hahahha binamu najipanga kuangalia shilawaduAunty, nikose bakurutu nizeeke, hapa namalizia masuala kadhaa ya mkopo wa wikend ndo niwe na uhakika wa kibesi.
But leo naenda mahali kumsikiza gwiji la kukopi nyimbo za longi , ni sehemu tulivu sana.
Mjomba hayupo, una utaratibu gani sasa, au ndo unajipanga kuangalia bongo movie
hatujambo shikamoommmh spidi yenu si yakitoto
hamjambo ndugu zangu???
santee kwa top 10 barikiwa1/Chelsea Clinton & MarcMezvinskyChelsea ndo mtoto wa pekee wa Bill na Hillary Clinton
Mwaliko ulikuwa ukitolewa na ikulu
Ilihudhuriwa na watu mashuri tupu
Katika harusi yake viyoyozi pekee viligharimu USD 600,000
Ulinzi pekee uligharimu USD 200,000
Huku kipande kimoja pekee cha keki nikiwa ni USD 150
Tukutane J3
Mwisho
..........
..........Una nini na BlessedHope ? Ina maana usipokuwa safarini basi mnakuwa pamoja?
Leo ni furahiday hebu tusitafutiane️ attack bila sababu,
Safi. Lee anasemaje huko porini? Au ameenda peke yake umebaki home kumlinda Mrs? Kama ni hivyo nakuonea wivu ile mbaya dah!mmmh spidi yenu si yakitoto
hamjambo ndugu zangu???
Sijui, nimepoteza hamu na movie kabisaKwa nini?
Nzuri ndugu yangu, umeadimika sana aiseeNdugu yangu za siku nyingi?
Tupia picha shemelatulipendeza shemela
Jamani kapuku mwenzenu nilichelewa kujitambua hebu nipokeeni jamvini ! Ni juzi tu nimejitambua mie kumbe kapuku kweli kweli !!
Asante bitoz kwa record za harusi1/Chelsea Clinton & MarcMezvinskyChelsea ndo mtoto wa pekee wa Bill na Hillary Clinton
Mwaliko ulikuwa ukitolewa na ikulu
Ilihudhuriwa na watu mashuri tupu
Katika harusi yake viyoyozi pekee viligharimu USD 600,000
Ulinzi pekee uligharimu USD 200,000
Huku kipande kimoja pekee cha keki nikiwa ni USD 150
Tukutane J3
Mwisho
..........