Makapuku Forum

Binadamu amekazana kujirundikia haya masilaha wakati kasayari kenyewe haka haka kamoja. Akikanyuka na kukafanya kasikalike tena sijui atakimbilia wapi. Sayari ya karibu inayoaminika pengine ku-support uhai iko umbali wa 110 light years na kwenda huko kwa teknolojia ya sasa haiwezekani. Ujinga mtupu!
 
Kotekote kutakuwa na madhara, kwa mama na baba wa mtoto mtarajiwa
To Tz haiwezekani...

Naamini inawezekana kwa nchi zenye Data base za kila raia wake kitu ambacho pia ni kigumu kuwa na data ambazo eti mimba inajulikana ni ya nani...

Lazima uwe na biological data za mtu husika hasa:

-Blood Group na DNA

sasa ni kweli kila mtoto akizaliwa huwa anachukuliwa hizo biological data?
 
kwakweli na isiwezekane watu watauana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…