Makapuku Forum

Mambo matano (5)kuhusu upumuaji wa binadamu

1.Mtu mzima anapumua mara 23,000 kwa siku.

2. Kazi kubwa ya kupumua sio kupata oxygen, bali kuondoa kabon dayoksaidi.

3. Kupumua kwa kutumia mdomo ni hatari kwa afya yako.

4. Unavyopumua kwa kasi ndivyo inavyozidisha njaa na acid kwenye mwili wako.

5. Unatakiwa kufanya mazoezi kwa kiwango ambacho utaweza
 
Asante mkuu kwa nyongeza.
 
1975 - Jenerali Cao Van Vien ambaye alikuwa Mkuu wa Jeshi la Vietnam Kusini anakimbilia Uhamishoni nchini Marekani mara baada ya Majeshi ya Vietnam ya Kaskazini yakisaidiwa na Urusi na China kukaribia kupata ushindi katika Vita ya Vietnam.
Mkuu baada ya Kaskazini kushinda vita wakaimeza Kusini na kuwa Vietnam moja tunaoiona leo?
....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…