Makapuku Forum

1936 - Tariq Aziz anazaliwa.

Waziri wa zamani wa Habari katika utawala wa Saddam Hussein.

Alikuwa anatoa habari za uongo kuhusu vita dhidi ya uvamizi wa Marekani kwamba bado Wamarekani hawajavamia ardhi yao.
Alikuwa mtu maarufu sana kwenye vita hiyo, press yake ya mwisho na waandishi aliwaambia marekani hawezi kuingia Baghdad, wakati huo yeye akiwa karibu na majeshi ya marekani umbali kama mita 100
 
Je Wajua:-

Baadhi ya wanyama jamii ya Mamba humeza mawe na kukaa nayo tumboni kwa muda mrefu. Mawe haya huitwa "gasrolith"
Mawe haya humsaidia mamba mambo yafuatayo;

1: Humsaidia aweze kuwa na uzito utakaowafanya wazame kina kirefu zaidi kwenye maji.

2: Humsaidia kusaga chakula tumboni.

3: Hufanya tumbo liwe na uzito na kujisikia
ameshiba
 
Ungekuwa ni ubushoke
 
1967 - Bondia Muhammad Ali anagoma kwenda kwenye Vita ya Vietnam na matokeo yake akanyang'anywa Mkanda wake wa Ubingwa wa Dunia.
Ilikuwa ni baada ya USA kigaragazwa na Wavoetnam ambao ni maarufu kwa kuvaa makofia ya mikeka hivyo wakaamua kuanza kuokoteza raia mitaani ndio Alli akagoma akaiambia serikali hawezi kwenda kupigana na Taifa ambao hajawahi kuona likimnyanyasa au kumfanya mtumwa wala kumuonea raia yoyote wa Marekani....
seroikali ikakasirika kwa kuambiwa ukweli unaouma halafu akashinda kesi Mahakamani na kurudishiwa mataji yake
Huyo ndo Muhammad Alli asiyependa "Ndio mzee" na wala kupelekeshwa kiboyaboya

Sasa kwa wale mnaofikiri vita dhidi ya Korea Kaskazini itakuwa rahisi mnajidanganya
.....
 


Ahsante kwa neno la asubuhi mama mchungaji Ubarikiwe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…