Subiri utamuona mfalme waokubwa lao tena
kiumbe nakiogopa hiki
Kweli Stone!!!6/Stonefish
Huyu anapatikana katika bahari za Hindi na Pacific...huishi kwenye kina kilichopo juu ya tropiki ya Kaprikoni
Ni samaki mwenye sumu kali inayoua haraka
.....
Poakaka za ww
Dah!!! Hatari.....Nge ninavyojua hang'ati, mkia ndio silaha yake na ndio wenye Sumu5/Death Stalker Scorpion
Achana na Scorpion mtoboa macho wa Buguruni...huyu nge ni noma
Ukipigwa tu na mkia wake utapata maumivu makali hadi kuzimia au kutojitambua kabisa{coma) na kisha utakufa...sasa fikiria akikungata je
Wanapatikana Afrika Kaskazini na Asia mashabiki..
Sumu yake ni mara 200 ya "cobra wa kawaida"
.........
3/Marbled Cone Snail
Hawa ni konokono wenye muonekano wa kuvutia lakini kumbe balaa tupu!!
Tone lake moja tu lina uwezo wa kuua watu wazima 26
....
Papaa.....how are doing?
Aisee5/Death Stalker Scorpion
Achana na Scorpion mtoboa macho wa Buguruni...huyu nge ni noma
Ukipigwa tu na mkia wake utapata maumivu makali hadi kuzimia au kutojitambua kabisa{coma) na kisha utakufa...sasa fikiria akikungata je
Wanapatikana Afrika Kaskazini na Asia mashabiki..
Sumu yake ni mara 200 ya "cobra wa kawaida"
.........
Duuuh3/Marbled Cone Snail
Hawa ni konokono wenye muonekano wa kuvutia lakini kumbe balaa tupu!!
Tone lake moja tu lina uwezo wa kuua watu wazima 26
....
aisee anakula mpk nyoka wenzakeKing CobraMfalme Koboko km jina lake lilivyo ndo Mfalme wa nyoka wote duniani..anapatikana huko kwenye misitu ya kwenye miinuko Kusini Magharibi mwa Asia
Huweza kufikisha hadi urefu wa futi 18.5 ana tabia ya kula nyoka wenzake
Sumu yake inaua mtu kwa dk 15 tu
Anaweza kumuua tembo mkubwa kwa masaa 3 tu
Ana ewezo wa kuto sumu kumzidi Black Mamba
......
Kuna na Stone wa Man. CityKuna Banzastone pia
......
Unaweza juwa sahihiDah!!! Hatari.....Nge ninavyojua hang'ati, mkia ndio silaha yake na ndio wenye Sumu
Ready to be corrected
Nyoka wengi nafikiri ni kawaida yao km samaki style ....mkubwa anammeza mdogoaisee anakula mpk nyoka wenzake
Lkn anabonyeaga km mkateKuna na Stone wa Man. City
Najua huyo konokono kwa muonekano wake mngetaka kumuweka sebuleniDuuuh