Makapuku Forum

TOP TEN
Wakuu sioni sababu ya kusubiri giza liingie maana leo ratiba ngumu pia kuna Manchester Derby japo ni saa 4 usiku

Sasa leo nawaletea wanyama wenye sumu kali zaidi duniani...ikumbukwe tu hata sisimizi ni mnyama
Karibuni
........
 
10/Puffer Fish
Hili lisamaki km linavyoonekana lina sura baya na sumu yake ndo ivoivo
Wajapan wanamuita Fugu wakati Wakorea wanamwita bok uh
Ana sumu kwenye ngozi na viuongo zingine
Sumu yake inachukuu masaa 4 hadi 24 kuua mtu
........
 
7/The Brazilian Wandering Spider Hawa ni buibui wanaotangatanga huko Brazil yaani hawatulii sehemu moja...ndio maana wanaitwa hivyo
Ndo buibui mwenye sumu kali zaidi
Sumu yake ya 0.005 mg ina uwezo wa kuua panya
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…