Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,262
Yap kabla ya hapo walikuwa wanajulikana kama KK 11 ila baada ya kuanzishwa kwa mfumo wa Vyama Vingi, ndo ikaanza kuitwa Chipolopolo wakimaanisha Shaba Nyekundu.Mussolin ndio hii waliobaki wakajiita chipolopolo
Shukrani mkuuAsante mkuu musollin kwa historia
HapanaUnazo info kuihusu hiyo kampuni?
Sio lazima wewe uzae wote 15..hahahh anza ww kwanza shemela
hapana aisee watto 15 wengi sana imepita team ya mpira
shida ndio kuzunguka kwa mgangayeye ni binadamu pia lakini, ana shida kama watu wengine
shkamoo by the way
huyo wa Leverkusen moto, Wenger haishi tetesi kila siku anammezea mate
Yupi fundi
...
shukrani sanaYap kabla ya hapo walikuwa wanajulikana kama KK 11 ila baada ya kuanzishwa kwa mfumo wa Vyama Vingi, ndo ikaanza kuitwa Chipolopolo wakimaanisha Shaba Nyekundu.
Naona uwezo wao unalingana, maana wakti wanachipukua walitajwa kama viungo hodari kwa siku za usoni, lakini wote wameshindwa kuwa na muendelezo mzuri na matokeo yake wamebaki kwenye timu zao zilezile huku Sven Bender akikalishwa mkeka Dortmund ya sasa.
Yupi fundi
...
Mambo mrembo?yaani ana timu ya mpira,refa,kocha na msaidizi mmojatuijaze dunia jamani
Ahahahah asante mkuuAhsante mkuu Mussolin5 kwa historia
Na pole kwa kupigwa risasi kisha kutundikwa
mmh waogeleaji ndio wakina nani shemela mm hata wa5 hawafikiSio lazima wewe uzae wote 15..
Unaweza ukazaa 5, hao wengine ukasaidiwa tuu..
Ila waogeleaji anatoa Lee..
Moses Chikwalakwala nilimshudia taifa aisee, kama alivyokuwa bebeto kwenye kandandaYap kabla ya hapo walikuwa wanajulikana kama KK 11 ila baada ya kuanzishwa kwa mfumo wa Vyama Vingi, ndo ikaanza kuitwa Chipolopolo wakimaanisha Shaba Nyekundu.
Tongotongo la Asubuhi
Nepal ndo nchi pekee duniani benders isiyo na pembe NNE(mstatili)
Nepal inapatikana Kusini mwa Asia kati ya Tibet na China
Sasa sijui aliyebuni hiyo bendera alikuwa amevuta bangi gani hadi mupitisha mkasi na kuifanya iwe na umbo hilo
Asubuhi njema
..............
namshukuru mungu sijambo, kwenu vp huko??shida ndio kuzunguka kwa mganga
marahaba toto tundu umeamkaje
Mh binamuuuushululu , asante kwa magazeti mdau.
Asubuhi na siku njema Makapuku
Mussolin5 asante kwa historia
Bitoz asante kwa picha kwa tusiopenda kusoma historia zisizo na picha.
BlessedHope asante kwa kudhamini magazeti. Naona shululu anahitaji kuonana na mimi kuhusu haya maudhamini
Mkuu Shululu shikamoo kaka.Moses Chikwalakwala nilimshudia taifa aisee, kama alivyokuwa bebeto kwenye kandanda
kwetu kupo poa kabisa tunamshkuru Mungunamshukuru mungu sijambo, kwenu vp huko??
unaenda tu si unajua kuna shida au labda limbwata you never know
Magazeti haya yamewajiwa kwa udhamini mnono wa mama mchungaji Blessed Hope, Tukutane tena kesho