Makapuku Forum

Tumekupata kubwa lao, pamoja sana!
 
Moto /Moyo
 
Ukimwi ni Upungufu Wa Kinga Mwilini
Ni mjumuiko wa maradhi mara kifua mara kuhara mara magonhwa ya ngozi
Wagonjwa wengi wa Ukimwi husumbuliwa na Kifua Kikuu ndio maana kooh. kooh kooh km vyura
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
.......
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nashukuru kwa ufafanuzi madenge
 
Asante bitoz
 
huu ugonjwa kwa kimombo unaitwa aje? naona kama sijauelewa kwa jina hilo la ki Tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…