Makapuku Forum

Karibuni nitaanza kutumia avatar ya Oscar Kambona
 
Nilifugia kuku mwenzako
 


Asingeweza kumpa kazi mtunza fedha
 
2/Kiharusi
Kitaalamu unaitwa Stroke kwa Lugha rahisi ni kupooza
Ikumbukwe ili ubongo iweze kufanya kazi unahitaji hewa ambayo husafirishwa kupitia kwenye damu hivyo chakula cha ubongo ni damu sasa kiharusi hutokea pale damu inapofeli kufika ubongoni au kufika chini ya kiwango kwa sababu mbalimbali mfano mishipa kupasuka, shinikizo la juu ladamu n.k
Mgonjwa wa kiharusi sio tu hupooza mwili bali pia akili
Huua watu 6.1 Milioni kwa mwaka
.......
.........
 
Tushukuru sisi tulikuja tukiwa salama salimini
 
1/Ugonjwa wa Moto
Huu ndo ugonjwa mbaya zaidi duniani..huweza husababisha na sababu mbalimbali km vile,.. kisukari, shinikizo la jyu la damu na uzito uliopitiliza
Kwa kugundua uzito wa tatizo hili serikali imeanzisha Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete pale Muhimbili
Ndio ugonjwa unaomsumbua Yusuf Manji
Huua watu milioni 7.2 kwa mwaka

Tukutane kesho
Mwisho
.......

 
Inaumiza sana
 

Shukrani mkuu
 
Ni ugonjwa gani unasababisha kuwa na ukimwi?
 
9/Kifua Kikuu Huu ugonjwa huenezwa na bacteria kwa njia ya hewa...huathiri zaidi mapafu lakini pia huweza kuenea hadi ktk vuingo zingine
Mgonjwa hupoteza uzito kwa kiwango kikubwa
Husababisha vifo 1.4 Milioni kwa mwaka
......
ebwana bitozi natoka kwenye topic kidogo...
kwenye iyo picha, madokta wa wapi hapo wanavaa kofia kama ma cheaf cooker?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…