Makapuku Forum

1964 - Tanganyika na Zanzibar zaungana na kutengeneza nchi ya Tanzania.

Waasisi wa wa Muungano huo ni JK Nyerere kwa pande wa Tanganyika na Abeid Amnai Karume kwa upande wa Zanzibar.
Wazanzibar wanaonekana kuuchoka muungano ...ila wananufaika sana na muungano kanchi kenyewe kadogo km mkoa mmoja tu
Hapa ni sherehe za mwaka 1983
Huyo wa nyuma ni Jenerali David Musuguri nimewahi kumuelezea jinsi alivyoongoza mapambano vita ya Kagera
Miaka miwili baadaye Mwalimu Nyerere aliachia madaraka kwa hiyari
....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…