Makapuku Forum

Baada ya kutolewa kwenye uefa na Monaco na kushindwa kwenye BL hii ndio inabaki chance pekee kwa kocha Thomas Tuchel kushinda kombe msimu huu. Baada ya ushindi wa 3-2 dhidi ya gladbach jumamosi iliyopita leo bvb watakutana na Bayern kwenye DFB pokal.

ukiachana na bartra na sahin hakuna majeruhi wengine wowote kwa upande wa dortmund, pia kuna habari kwamba sokratis kasafiri na timu na amekua akifanya mazoezi kwa siku tatu, upande wa Bayern kuna tetesi kwamba alaba anaweza asicheze na nafasi yake kuchukuliwa na Bernat.

Boateng na Hummels wamepona hivo leo watacheza,

Douglas costa hajawa na msimu mzuri toka kuondoka kwa gurdiola, hivo tutegemee kuwaona Robben na Ribery wakianza.
 
Aiseee
 
Aisee inashangaza sana hii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…