Je vipi kuhusu shughuli za uvuvi na watu kuoga humo ziwani?Tongotongo la Asubuhi
Lake Hillier
Ndio Ziwa pekee duniani lenye maji ya rangi ya pink
Kamwe maji yake hayajawahi kubadilika rangi pia Wanasayansi wamejaribu kugundua chanzo cha hayo maji kuwa ya pink lakini bado hadi leo hawajui
Linapatikana Magharibi mwa nchi ya Australia
Asubuhi njema
...........
hii user name yako kibokoShwari kabisa, hofu na mashaka ni kwako uliyembali na upeo wa macho yangu.
Je vipi kuhusu shughuli za uvuvi na watu kuoga humo ziwani?
Watu wanaathirika tu na sumu
Sierra Leone kuna almasi za damu
This is Africa
.......
Ahsante bro Bitoz kwa chakula cha ubongoDuma
Ndio mnyama wa ardhini mwenye kasi zaidi duniani anapatikani barani Afrika
Tufanye utalii wa ndani tukajionee kwa macho
Ahsanteni kwa kuwa pamoja nani
Mwisho
.............
Hapana baba mchungaji bali nimependa come back yakoWhy mkuu,hunikubali ehh ok ok
Asante kwa magazetiMpaka hapo Sina la ziada kwenye magazeti kwa udhamini mnono wa shemela shunie, Nawatakieni asubuhi njema na sherehe njema za muunngano
Pia leo ndiyo nazaliwa
Ulembwike?Uli nkafu
Amazing! Unashangaa ID yangu kama niishangaavyo avatar yako. Sir God kakujakhalia bambataa na taarabu vimo.hii user name yako kiboko
Heri ya Siku ya kuzaliwa Mkuu shululuMpaka hapo Sina la ziada kwenye magazeti kwa udhamini mnono wa shemela shunie, Nawatakieni asubuhi njema na sherehe njema za muunngano
Pia leo ndiyo nazaliwa