Makapuku Forum

Sudan
Ndio nchi yenye eneo kubwa zaidi barani Afrika
Kuna Sudan Kusini na Kaskazini hivyo sijajua km inaongelewa Sudan ya zamani kabla ya kugawanyika au inaongelewa Sudan Kaskazini/Jamhuri ya Sudan kwa Bashir
Ukubwa wake ni maili za mraba 968,000
.....
 
Aisee
 
Ndaga fijho
 
Kutoka darfur mpaka Khartoum ni sawasawa na dar to bukoba, bado ni nchi kubwa
 
Tanzania, Congo (DRC) na Angola, utajili uliopo kwenye hizi nchi ni sawasawa na Bara zima la Ulaya
Mabepari wanatunyonya kisha tunawapigia magoti kuomba misaada tukipewa tunafikiri tumesaidia

Wanachimba tu madini hawalipi kodi hadi "wakijisikia wameanza kupata faida" sasa jiulizo miaka 29 mtu km jhapati faida mbona harudi kwao
......
 
Mlima Kilimanjaro
Ndio Mlima mrefu zaidi barani Afrika..Hapo ndio point ya juu zaidi ya bara la Afrika inapopatikana wakati point ya chini zaidi ni Ziwa Tanganyika
Siku hizi theluji omeanza kupungua juu ya kilele..ina vilele viwili (Kibo na Mapenzi)
Urefu wake ni futi 19300
.........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…