Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,232
- 68,262
Kipeperushi cha CCM
Tufungie vitumbua tu
....
Amen Na kwako pia Mndali ndanyelakakomuWakuu wazima niwataki siku njema na ujenzi mwema wa taifa
Asante kwa leo katika historia mkuu musollinLeo Katika Historia:
Niwatakie siku njema.
Pole sana mkuu Mussolin5 kwa kuangushwaLeo Katika Historia:
1945 - Ni siku ya ukombozi ndani ya Italy ( Liberation day ) ambapo waitaliano wanaadhimisha siku ya kudondoka kwa utawala wa Kifashisti na kukamatwa kwa Dikteta wa Nchi hiyo Benitto Mussolini.
UmeamkajeAsante kwa neno mama mchungaji
1990 - Violeta Chamorro anakuwa Rais wa kwanza mwanamke katika nchi ya Nicaragua.
Hongera kwa mwanamama naweza kumuita Iron lady1990 - Violeta Chamorro anakuwa Rais wa kwanza mwanamke katika nchi ya Nicaragua.
Happy birthday to him1947 - Johan Cruyff anazaliwa.
Staa wa zamani wa Ajax, Barcelona na timu ya taifa ya Uholanzi.
Mmoja kati ya wanasoka bora kuwahi kutokea Duniani.
Ndio muasisi wa chuo maarufu cha soka cha Barcelona, La Masia.
Nipo okey japo ray kanikimbiaUmeamkaje
Alitupoteza sana huyu pale OT1963 - David Moyes anazaliwa.
Kocha wa sasa wa Sunderland ambaye pia amewahi kufundisha katika vilabu vya Everton na Man Utd.
1947 - Johan Cruyff anazaliwa.
Staa wa zamani wa Ajax, Barcelona na timu ya taifa ya Uholanzi.
Mmoja kati ya wanasoka bora kuwahi kutokea Duniani.
Ndio muasisi wa chuo maarufu cha soka cha Barcelona, La Masia.
Indi mkafu mwalembuka mwemweMwaghona kaka mwalamusha
Anataka kuleta treni yake, nitaisoma baadae hiyo habariFunguka sasa
Hivi hata babaye nae alikuwa ni mtu wa totoz?Sobhuza ii
Mzee wa vigori
...
Asante kiongoziAmen Na kwako pia Mndali ndanyelakakomu