kuhusu epl kuwa na pesa hilo sikatai mkuu,lakini kuhusu kutopumzika hilo si kigezo, mwaka 2008 man u anachukua ubingwa pale moscow wa uefa kwani walipumzika? vipi kuhusu come back ya liverpool dhidi ya ac millan pale instanbull? au alichowafanya drogba bayern kwenye uwanja wao 2012 kulikua na likizo yyte hizi timu zilipewa?
kinachofanya epl iwe ligi yenye ushindani ni kutokuwepo na m-babe baina yao, sababu wote level ni moja kwa sasa,