Thanks B.1/Lake Baikal
Ndio pia ziwa kubwa zaidi la majibaridi duniani
Linapatikaba huko milimani Urusi katika jimbo la Siberia karibu na mpaka wa Mongolia
Lina kina cha mita 1642
Ahsanteni kwa nami
Mwisho
...........
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]sijawahi kuwa impressed na ligi ya uingereza, kinachofanya ionekane ni ngumu ni sababu timu zote zinakiwango sawa.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Unaambiwa kipofu ndotoni huwa anaona, ila anachokiona kinakuwa kwa muundo wa black and white.[/b]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Timu inapesa balaa
Huku baharini kunanuka mnooHalafu hawana chkumvi kabisa
Pia Matema Beaxh masafi meupe tii hadi unaweza kunywa wakati huku Coco Beach full kimba
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
............
Yako vizuri, vp upande wakoAya sasa mambo vipi wadau
Nipo mkuu, majukumu tu na vitotoz vingZa kupotea
Tiba piaFafanua kidogo mkuu
......
mbona unashangaa mkuu[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sawa mama mchungajiUsisahau kuniarifu siku mapema
Hamna namnaHuku baharini kunanuka mnoo
Yaani km umepanda treni unaliona Ziwa kuanzia ukikaribia stesheni hadi unafika yaani reli ni km imeishia ziwaniHongera picha zinamuonekano mzuri sanasana kazi yako ni njema,
Napenda sana dagaa watoke popote nawala naenjoy sana
Makhabaaa mtoto mzuli[emoji4]mukongo shikamoo
Viwango vinafanana, kweli?mbona unashangaa mkuu
Mkuu hii ni kama iliwahi kuwa avatar yako
Ukweli mtupu
Km wale askari 8
...
Kwema sana kiongozipoa mkuu, habari za mida???
Yah ni kweli mkuu, ndio maana wakiwekwa na timu zingine toka ligi tofauti hawafiki popoteViwango vinafanana, kweli?
shemelaa hajamboYako vizuri, vp upande wako