Amaizing9/Crater Lake
Linapatikana huko Marekani katikajimbo la Oregon.ambako linajulikana km National Crater Lake
Halina mto unaomwaga maji kutokea huko wala kuelekea huko
Miaka mingi iliyopita lilikuwa linalipuka volkano
Lina kina cha mita 592
......
Wenzetu wanatunza mazingiraMandhari inavutia
Mkuu ukiandikasawa mkuu nimesha karibia lakini ili jina lako linaniachaga patupu "Mandali ndanyelakakomu"
lina maana yoyote au?
Mungu na uumbaji wake9/Crater Lake
Linapatikana huko Marekani katikajimbo la Oregon.ambako linajulikana km National Crater Lake
Halina mto unaomwaga maji kutokea huko wala kuelekea huko
Miaka mingi iliyopita lilikuwa linalipuka volkano
Lina kina cha mita 592
......
So sadWenzetu wanatunza mazingira
Sisi wachafuzi wakubwa na hatujali kizazi kijacho
.....
Kunapendezaaaa8/Great Slave Lake
Ndio ziwa refu zaidi Amerika Kaskazini
Linapatikana Canada upande wa Kaskazini Magharibi
Lina kina cha mita 614
.......
sawa mkuu nimekupataMkuu ukiandika
Mandali nahisi ni watu wa moshi huko
Mi mndali nawakilisha kabila la wandali linapatikana wilaya ya ileje mkoa wa songwe
Pamoja mkuusawa mkuu nimekupata
Njema za kwakoHabari za jioni wakuuu
Hope nyote mko bomba
Sitaki kuamini kua ktk text 300+ Valentina hakuniulizia au mrembo yoyote hakuniulizia...
Ahsante kwa info mkuu1/Lake Baikal
Ndio pia ziwa kubwa zaidi la majibaridi duniani
Linapatikaba huko milimaniLinapatikana Urusi katika jimbo la Siberia karibu na mpaka wa Mongolia
Lina kina cha mita 1642
Ahsanteni kwa nami
Mwisho
...........