Binafsi nakubaliana na wanaounga mkono Mesut Ozil kuondoka..... Ila pia binafsi naunga mkono wanaokubaliana na Alexis Sanchez kuongeza mkataba pale arsenal...... Ila nipo 50/50 na wanaomtaka babu Wenger abaki na wanaomtaka mzee Arsen atoke pale arsenal......Sanchez na Ozil wanapoteza muda tu pale japo wapo fainali FA lakini babu Wenger atafanya upuuzi wake km kawa na vitoto chake na TO 4 kuingia kazi wanayo na wanaweza shika # 4 na wasicheze Champions League iwapo Man Utd atachukua Europa
.......
Kabisa
Ukweli mtupu
Km wale askari 8
...
Yaani mungu tu ndo anatunusuru maana hizi njia ni hatari sanaZinatisha sana hizi sehemu
AsanteWakuu ngoja niwaletee TOP TEN mapema kabisa
Leo tutaangalia maziwa yenye kina kirefu zaidi duniani
Kwamfano tuweke maji kwenye beseni au hata likiwa tupu sasa tunatumbukiza rula wima ili kujua kina chake
Kipimo kipo katika meta
Karibuni
.......
Njema karibuhabari za jioni wandugu
Hii imeniuma utafikiri ndo namwona wanafanya hilo tukioKwa zjili ya PESA ...MONEY...FARANGA...MAFWANYA....HELA Wakati huo hata bima kwetu ilikua jambo geni nasikia aliua wake wawili imagine
Duniani kuna mambo magumu san q ni kuomba Mungu tuHii imeniuma utafikiri ndo namwona wanafanya hilo tukio
Njema mkuu za huko upambanako?habari za jioni wandugu
Pole kakaHii imeniuma utafikiri ndo namwona wanafanya hilo tukio
akhsanteh! sanaNjema karibu
Asante DadaPole kaka
huku napo njema Mungu yupo anasaidiaNjema mkuu za huko upambanako?
Pamoja mkuu karibu tuendeleze sikuhuku napo njema Mungu yupo anasaidia
Mandhari inavutiaLake Matano
Linajulikana pia km Ziwa Matana
Linapatikana huko nchini Indonrsia
Lina kinschenye urefu wa mita 590
.......
Kweli dadaDuniani kuna mambo magumu san q ni kuomba Mungu tu
sawa mkuu nimesha karibia lakini ili jina lako linaniachaga patupu "Mandali ndanyelakakomu"Pamoja mkuu karibu tuendeleze siku