Makapuku Forum

Barikiwa BlessedHope..
 
Pamojaa kiongozii
 
Asante mtumishi
 
Somo zuri msma mchungaji
...
 
Yaleyale ya Bashie
Anapambana na filamu feki wakati yeye ana vyeti na majina feki
Ni kichekesho
....
 
Asante mkuu maana nimewaza nikafika mbali sana
Kila kitu kina umuhimu
Mfano mabaki ya chakula hutumika kulishia mifugo ndo ilovyo pia kwenye ishu zetu
Ingekuwa stori za mapenzi haziruhusiwi thread isingeweza kufika ilipofika
Thread hii haichoshi sababu ina vitu mchanganyiko tofauti na thread zingine
Pia hata waokota makopo mitaani wana umuhimu maana husaidia kusafisha mazingira
.........
 
Mkuu mi nashukuru tu maana naona maada yoyote inanoga inapo kuwa na kila kitu ndani na kwenye uzi huu tunajifunza mambo mengi sana na tunapo ona utani mapenzi vinafanya tufurahie uzi
 
Au kudeal na wauza unga afu unapokea pesa na magari kutoka wauza unga.

Na ndomana huyu jamaa kato hawezi faulu ,katika vita zake
Bashite samtaimu anachekesha sana
Jamaa ni km Waziri asiye na wizara maalum
Madawa yeye
Filamu yeye
Kupokea wageni Airport yy
Uzinduzi wa miradi yy

Yaani full kiherehere
...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…