Makapuku Forum

Ha hahahhaha, hili kwa sababu unalijua zaidi na lina urafiki na masikio yako, kuna la Dr Remmy (RIP) nalo utalipenda tu.

Then tunaweza kutoka kwenda huko kina hendrix, Santana, Bonamassa, wale Waluo wa shirati jazz na wengine kibao
Bwana weee
Lete votu vyenye kugusa hisia kama hizo yaani hazichoshi..
 
umemaliza kaka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…