Mndali ndanyelakakomu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2016
- 14,001
- 31,770
Swali lako jepesi sanahahaha Makapuku mimi huwa mbona jukwaa lenu hili najaribu kulielewa lakini nashindwa? Hivi huwa mnajadili mada fulani au kuna mtiririko wa story maana mnaniacha kwenye mataa ....ila ninachoelewa kutoka kwenu ni kuwa mnatoa like kama njungu vile na kingine kinachonishangaza ni uzi wenu unavyokimbia kama marathon vile....
Siipendi, inafanana na ile soda ya Tangahakunaga fursana ya size ya kati halaf ikiwa ya moto mbaya
Sasa mie nimekumiss zaidi ya sana. Apa nilikua macho juu juu nikiangalia utatokea upande gani mwenzangujamani makapuku mko salama ??
nimewamic so crazzy
-shunie_first lady of jf
-shimba ya buyense_falsa with intergrity
-mondray_aka rayvany
-sakayo_apple lover2
-dr.lee_jealous man with pure love
-transcend_mshauri
-valentina_apple lover
-nyagei_charlie
-mukongo_werrason
-mukubhi_mboga za majani
-toxic9_baba paroko
Huwezi wako pamoja
Mke wa mtu anachukuliwa wewe uliyepewa kazi ya kumlinda ulikuwa wapi? Uliucharaza usingizi ama?heheh... mkuu how yuh dare fi talkn like dat
Rutta ni ngumu sana kuuelewa huu uzi, hukuna mada maalum japo kuna segment kama nukuu, je wajua, leo katika historia na magazeti, kwa kifupi hiki ni kijiwe cha watu kupiga stori tena chenye watu wapya kila wakati, kwa ufupi hapa utani na kutaniana ni kwingi na stori za mapenzi na michezo huwa hazikauki. Likes ndio nguzo muhimu za ushirikiano hapa kapuku au hata nje ya kapuku.hahaha Makapuku mimi huwa mbona jukwaa lenu hili najaribu kulielewa lakini nashindwa? Hivi huwa mnajadili mada fulani au kuna mtiririko wa story maana mnaniacha kwenye mataa ....ila ninachoelewa kutoka kwenu ni kuwa mnatoa like kama njungu vile na kingine kinachonishangaza ni uzi wenu unavyokimbia kama marathon vile....
Wa kuzugia ninaye mkuu sema tu nimeamua kukaa kimya. Kuwa ngangari kwani mpaji siyo Bashite na siku moja utafanikiwa tu! Ifanye kazi yako ya ulinzi vizuri kwa sababu you never know. Kwema lakini?niponde tyu we hata wakuzugia huna
ahhhaha sijui mm ngoja waje wenyewehehehe hope sijakosea
Inawezekana lengo lake ni kutupima IQ tuRutta ni ngumu sana kuuelewa huu uzi, hukuna mada maalum japo kuna segment kama nukuu, je wajua, leo katika historia na magazeti, kwa kifupi hiki ni kijiwe cha watu kupiga stori tena chenye watu wapya kila wakati, kwa ufupi hapa utani na kutaniana ni kwingi na stori za mapenzi na michezo huwa hazikauki. Likes ndio nguzo muhimu za ushirikiano hapa kapuku au hata nje ya kapuku.
Lingine memba wa humu wengi wanafahamiana nje ya kapuku.
Hata ukifukuzwa kazi potelea mbali kwa sababu bosi mwenye wivu yule wala sipati picha jinsi unavyoteseka japo unakula kwa macho. Achana na hiyo kazi twende tukalime nyanya katika vijito vya likijiji la maraha Koromije.hahahahah...... mkuuu nakusoma tu toka mwanzo
lengo lako ni nini hasa mi nifukuzwe kazi ama ...
inasikitisha sana mara ya kwanza kuiona nipo mdogo sana enzi ya mikanda mikubwa aisee halaf waliitoa kwenye dvd nakumbuka niliinunua hata sijui iko ap nitainunua tenaNashukuru auntie.
i may sound awkward, lakini mar y kwanza naiona hii movie tumekaa mimi na wazazi wangu nililengwalengwa na machozi. Storyline yake inateka moyo katika namna ambayo unatamani kuingia na kumzabua 'ba mdogo'
sasa leo umeingiajesimu yangu ilipata hitirafu nikairestore ikaanza upya kabisa nikadownload app ya jf na upya sasa nilisahau password yangu yakuingilia lkn sikuona kitufe kilicho andikwa forget password
naomba kuuliza kuna namna yoyote ya kuingia jf (login) kama umesahau password
[HASHTAG]#wasilisha[/HASHTAG]