Amen mama mchungaji kwa salaMungu Baba Mwenyezi ,asante kwa siku njema ya leo tunajikabidhi mikononi mwako usiku wa leo utuondoe katika hatari za mwili na za roho,ponya wagonjwa,fariji wafiwa,watie moyo wajane,wagane na wapweke,walinde wasafiri majini,nchi kavu na angani Baba tunakuomba tusamehe yote tuliyokosa kwa mawazo,maneno na matendo uturehemu twakusihi na utuamshe tukiwa na nia njema ya kukutumikia.
Malaika walinzi waweke kituo kwa kila mmoja wetu Damu takatifu itufunike tunaomba yote kwa jina la Yesu Kristo Mpatanishi na Mwokozi wetu Amen[emoji120]
[emoji524] Mithali 18
10. Jina la BWANA ni ngome imara; mwenye haki huikimbilia, akawa salama.
MUWE NA USIKU MWEMA,NJOZI NJEMA,MLALE SALAMA.[emoji120]
I returned, and saw under the sun, that the race is not to the swift, nor the mighty ones the battle, nor do the wise also have the food, nor riches to men of understanding, nor yet favor to men of skill; but time and chance happen to them all.
For man also knoweth not his time; as fish that are taken in an evil net, and as the birds that are caught in the snare, so men snared in an evil time, when it befall quickly. Wisdom is better than foolishness
Mungu Baba Mwenyezi ,asante kwa siku njema ya leo tunajikabidhi mikononi mwako usiku wa leo utuondoe katika hatari za mwili na za roho,ponya wagonjwa,fariji wafiwa,watie moyo wajane,wagane na wapweke,walinde wasafiri majini,nchi kavu na angani Baba tunakuomba tusamehe yote tuliyokosa kwa mawazo,maneno na matendo uturehemu twakusihi na utuamshe tukiwa na nia njema ya kukutumikia.
Malaika walinzi waweke kituo kwa kila mmoja wetu Damu takatifu itufunike tunaomba yote kwa jina la Yesu Kristo Mpatanishi na Mwokozi wetu Amen[emoji120]
[emoji524] Mithali 18
10. Jina la BWANA ni ngome imara; mwenye haki huikimbilia, akawa salama.
MUWE NA USIKU MWEMA,NJOZI NJEMA,MLALE SALAMA.[emoji120]
Huyu Valentina umehamia naye huku Makapuku au umemkuta huku huku? Kama umemkuta huku basi we mkali kwani kuna watu kama Shedede wamehangaika kutafuta mabibi huku mpaka wameishia kuwa walinzi wa wake za watu. I salute you mkuu!Khaaaa namani usiku mwema mlale muote mizizi na matawi..
Maombi ya ulinzi wa Mungu ni muhimu sana...
Nawakubali sana Kaka zangu nyote...
Na warembo wa humu wote..
Valentina tunafungua ukurasa wetu mpya
Nakupenda..
Generally yes but specifically no! Kuna mazingira mengine yanahitaji foolishness na ukijifanya we eti una wisdom kuliko Mfalme Suleman utaumia. Elewa mazingira uliyomo kwanza ndo uanze kuleta hiyo wisdom yako pole pole. That's how you +ly influence people.Wisdom is better than foolishness
Mi nimeona jina la Kihaya nikajua ameshuka nondo zake mwenyewe. Si unajua tena ndugu zangu wale kwa shule na kimombo siyo wa mchezo mchezo. Nice observation [emoji122][emoji122][emoji122]Hii umeitoa katika kitabu cha 'Mhubiri' Ecclesiates 9:11
Mkuu ni zaidi ya ikolomijeMbali kolomije mkuu
Aksante mkuuUwe na safari njema
Aliyeko macho aje hapa
Bhinamu kwanza asante sana kwa nyuzi uliyotuwekea ...Mimi ndo natoka rindoni mkuu kile kibarua ulichoniunganisha nakitendea kaziUnasemaje mjomba lee empire , najiandaa kwenda jogging veteran, ntapasha kiporo kwanza
KaribuKahawa na ghahawa
Bhinamu kwanza asante sana kwa nyuzi uliyotuwekea ...Mimi ndo natoka rindoni mkuu kile kibarua ulichoniunganisha nakitendea kazi
Nakomaaa bhinamu make nikizubaa ata auntie yako namkosa utamsikia eti anataka chib pafyumu ...mara nywele za Brazilsawa sawa mjomba, komaa nalo, mimi yule mdada mjeshi kanipangia kulinda kipusi/paka chake, kina kelele hicho yaani silali