Makapuku Forum

Makapuku Forum

Unbelievable facts...

aae4458fabd1555d0b0c92d7e4efb9ea.jpg
 
Tunakushukuru Mwenyezi Mungu Baba wa rehema asante kutuamsha salama,tunajikabidhi mikononi mwako tuongoze tutende mema na kukutii asante kwa ajili ya familia na Makapuku wote,tulinde tuongoze tuepushe na hatari zote za mwili na roho bariki kazi za mikono yetu walinde wasafiri,wajane,yatima,waponye wagonjwa wafariji wafiwa na wote wanaopitia changamoto wape wepesi na kushinda bariki marafiki na maadui tupe mshikamano asante kwa ni utatenda sawa na mapenzi yako katika jina la Yesu Amen

USHIRIKIANO

HERI WAWILI KULIKO MMOJA

MHUBIRI 4

9.Afadhali kuwa wawili kuliko mmoja ;maana wapata ijara njema kwa kazi yao.

10.Kwa maana wakianguka ,mmoja wao atamuinua mwenzake;lakini ole wake aliye peke yake aangukapo wala hana mngine wa kumuinua

Tunahitaji watu wa kutimiza ndoto zetu.

Kama tunahitaji mtu /watu basi tumuombe Mungu sana atukutanishe na:
Mtu /watu sahihi
Mahali sahihi
Wakati sahihi
Kwa utukufu wa jina lake na kwa mafanikio yetu wote.
Watu wote ni muhimu kwetu kwa nyakati tofauti,shetani huwa anatuangusha tusikutane na watu sahihi wakati sahihi.

Heshimu watu,wasiliana na watu,wapende watu,watendee mema ndugu,jamaa,rafiki,jirani,wageni,adui na wote wanaotuzunguka.

MUNGU ATUSAIDIE

MBARIKIWE SANA

SIKU NJEMA KWENU
Asante mama mchungaji kwa Baraka za asubuhi ...tunakupenda sana mama kwenye familia yetu hii pendwa kapuku forever

Nafurahi Siku hizi unatupa na somo ...somo lako me Leo nalifananisha na hii story "An engineer in a car manufacturing company designed a world class car. The owner was so impressed with the outcome and showered him with praises.

While trying to take the car from the manufacturing area to the front office, they realised that the car was a few inches taller than the entrance.

The engineer felt bad that he didn't put that into consideration before designing the car.

The owner was at loss on how to take the car out of the manufacturing area.

The painter suggested they force out the car and then repaint the few scratches after, at the top of the car.

The engineer suggested that they break the entrance and after taking the car out, they can renovate it.

The owner was not convinced with any of the ideas. He felt that it is not good enough to break or scratch.

The watchman, who has watching all the drama, slowly approached the owner. He wanted to give an idea if they have no problem taking it.

They thought what is it that this guy have to say that the experts have not said. They allowed him, nonetheless.

The watchman said that the car is only a few inches taller than the entrance so if they let out some air from the tyres, the height of the car will reduce and can be easily taken out.

Everyone there was surprised and clapped in appreciation of his ingenuity"

Don't approach problems only from the expert point of view. There is always a layman point that may provide needed solution.

Everyone around your life has a key role in your life accomplishment.

Don't look down on anyone in your life.

Take note, everybody is important.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom