Makapuku Forum

hawa watu sio wastaarabu kabisa sijui kwa nn watu wa bara la Asia wapo hivyo
mkitembea barabarani wanatema makohozi yaan kila mtu utamsikia anavutia anatema popote pale kwenye bus au super market nyie mnaona kinyaa wenzenu wala
Hata hotelini hufanya hivyo
 
Binamu asante sana hivi huyo kuna nyimbo aliimba inaitwa africa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…