Snipes
JF-Expert Member
- Jul 2, 2013
- 9,223
- 16,900
sio sana, halafu acha umbea nna ndoa mbili hapaunatamaniiii iwe kweli
we wa tatu soon
sio sana, halafu acha umbea nna ndoa mbili hapaunatamaniiii iwe kweli
hivi vale mbona sikuingiliagi kwa Nyani Ngabu ujue huyo ni baby wangu au unataka nikufweeKwamba tumemisiana
bas niachie baby wangu usimmiss hivyo nitasusa akirudi alale chumba kingineMi staki ukufwe bana
hahahahahaha huyo ndo Snipes OG afu nimekuambia acha umbeanaongea na ww apo halaf toka umebadili I'd umekua chizi fresh ujue
hotelin sijawahi onaHata hotelini hufanya hivyo
wa Brazil nywele zao tunanunua ghali
Alhamdulillah mungu anasaidiame mzima mpenzi, habari za siku mingi
Vale mume anauma ujue uliyaona ya mmu leoMwenyewe natamani uwe wa kweli
yaan shemela nahisi kama mwanamuziki flan hiviUshaingiwa na wasi wasi shemela
Aisha shemela wangu huyo mstaarabu sana achana na jina ujue hutojutia kumfahamuKwanini shululu
Ila ilo Jina lako.. Haha
Ahsanteeeeee
Nilikua nakusubiri kwa hamu aisee
Nilikua nataka nizime data sasa na reload bando upya..
Pesa nazi na madafu zipo..Toxic9 shahidi.




Si ndio huyo Arch nan sijui kachange jinaAisee cjamuona
Cjui yuko wap kwakwel
Asante shemela, tunaitafuta top4me pia nimefurahi sana shemela karibu tena mzee wa arsenal yako
ushindweee mm ni wa lee nitabaki kuwa wa leesio sana, halafu acha umbea nna ndoa mbili hapa
we wa tatu soon
Lina niniKwanini shululu
Ila ilo Jina lako.. Haha
umbea ni afya siwezi achahahahahahaha huyo ndo Snipes OG afu nimekuambia acha umbea
Brazilian hair![]()
kkumejaa wanawake warembo balaa![]()
.
....
malaki yanatutoka
huyo uliyemjibuAlhamdulillah mungu anasaidia
Ondoa hofu shemela,shemela bora umerudi nitakua na amani