Makapuku Forum

hawa watu sio wastaarabu kabisa sijui kwa nn watu wa bara la Asia wapo hivyo
mkitembea barabarani wanatema makohozi yaan kila mtu utamsikia anavutia anatema popote pale kwenye bus au super market nyie mnaona kinyaa wenzenu wala
 
Binamu jaman hivi ww sio mwanamuziki kweli
 
Wametisha hawa... Kwanzia uchafu mpaka kuzaliana
 
Reactions: Lee

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…