Makapuku Forum

Makapuku Forum

Yaah afu ni wajuzi wakuteka fealingz za wanaume [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwahiyo mnatusema halaf shedede kazi imeishia hapa nitajilinda mwenyewe na baby wangu nitamlinda mwenyewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jufa utachelewa ila usimfanye mwanamke kuwa kila kitu kwako hapo atakuwa amechukua uhuru wako wote!!!
 
Mathayo 7

7 Ombeni nanyi mtapewa,tafuteni nanyi mtaona;bisheni nanyi mtafunguliwa.

8 Kwa maana kila aombaye hupokea ,naye atafutaye huona,naye abishaye atafunguliwa

Asante Baba kwa ulinzi wako mchana kutwa ,tusamehe pale ambapo tulienda kinyume na mapenzi yako,tunajikabidhi mikononi mwako tunaomba malaika waweke vituo kwa kila mmoja wetu Damu ya Yesu ikatufunike Amen

Usiku mwema wapendwa.
 
Asante kwa sala, usiku mwema
 
Back
Top Bottom